Waajiri Health Bonanza 2022
Chama cha Waajiri Tanzania (ATE) siku ya Jumamosi tarehe 5 Novemba 2022 walifanya Bonanza la Michezo “Waajiri Health Bonanza “ambapo Mgeni Rasmi alikuwa ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu ( Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Prof. Joyce Ndalichako ( MB). Katika hotuba yake Mh. Waziri amewapongeza ATE kwa kuandaa bonanza hilo lenye […]