ATE yazindua Mafunzo ya Programu Mwanamke Kiongozi kwa Wajumbe Wanawake wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar
Zanzibar, 17 Februari 2022 Chama cha Waajiri Tanzania (ATE) kwa kushirikiana na Shirikisho la Vyama vya Waajiri la Norway (NHO) siku ya Alhamisi tarehe 17 Februari 2022 wamefanikiwa kuzindua rasmi Mafunzo ya Programu ya Mwanamke Kiongozi kwa Wajumbe Wanawake wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar ambapo Mgeni Rasmi katika tukio hilo alikuwa ni Spika wa Baraza […]