Mkutano wa majadiliano ya wadau kuhusiana na “Umuhimu wa Wadau katika Kuendeleza Ujuzi kwenye Maeneo ya Kazi kupitia Uanagenzi, Mafunzo ya Kazi kwa Wahitimu pamoja na Mafunzo kwa Vitendo”
Chama cha Waajiri Tanzania (ATE) siku ya Alhamisi tarehe 22 Juni 2023, kilifanya Mkutano wake Mkuu wa 64 ambao ulioambatana na majadiliano ya wadau kuhusiana na “Umuhimu wa Wadau katika Kuendeleza Ujuzi kwenye Maeneo ya Kazi kupitia Uanagenzi, Mafunzo ya Kazi kwa Wahitimu pamoja na Mafunzo kwa Vitendo” Mgeni Rasmi katika mkutano huu alikua ni […]