ATE yafanya Mkutano wa 5 wa Uongozi ulioambatana na Mahafali ya Programu ya Mwanamke Kiongozi
Chama cha Waajiri Tanzania (ATE) siku ya Machi 10 Machi 2023 imefanya Mkutano wa 5 wa Uongozi ulioambatana na Mahafali ya Programu ya Mwanamke Kiongozi (Female Future Programme) ambapo Mgeni Rasmi alikuwa ni Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa (Mb), aliyeambatana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu […]