Monday - Friday ( 08:00 AM - 04:30 PM )
Association of Tanzania EmployersAssociation of Tanzania EmployersAssociation of Tanzania Employers
+255 22 2780023
info@ate.or.tz
Mikocheni Industrial Area, Dar es Salaam

Sample Page

CLOSE OF OFFICE FOR FESTIVAL SEASON

The Association of Tanzania Employers (ATE) would like to inform you that the Secretariat will break for Christmas and New Year Celebrations from Thursday 23rd December 2021 to Friday 31st December 2021 inclusive. However, taking into consideration the importance of Legal advisory services, emergencies and urgent matters that may occur during the break period, kindly […]
Read More

ATE yaungana na Dunia kuadhimisha Siku ya UKIMWI Duniani

Katika kuadhimisha siku ya UKIMWI Duniani Disemba 1 mwaka huu, Chama Cha Waajiri Tanzania (ATE) kwa kushirikiana na ILO na PSI Tanzania iliendesha zoezi la kuelimisha wafanyakazi wa Benki ya Standard Chartered kuhusu Upimaji wa VVU mahali pa kazi kwa kutumia kipimo binafsi cha JIPIME kwa lengo ni kuhakikisha kunakuwa na mazingira bora na salama […]
Read More

ATE yafungua Rasmi Ofisi ya Kanda ya Kati Dodoma

Chama cha Waajiri Tanzania( ATE) siku ya Jumanne tarehe 9 Novemba 2021 kilifanya mkutano na Waajiri Jijini Dodoma ikiwa ni sehemu ya ufunguzi rasmi wa Ofisi zake kwa ya Kanda ya Kati. Akizungumza katika Mkutano huo Mkurugenzi Mtendaji na Afisa Mtendaji Mkuu wa ATE Bi. Suzanne Ndomba-Doran alisema lengo ni kuwa karibu na Waajiri na […]
Read More