Kampeni ya JIPIME VVU Mahala pa Kazi

Baadhi ya wafanyakazi wa ATE wakiwa kwenye picha ya pamoja huku wamevaa fulana zenye ujumbe wa kuhamasisha kampeni ya JIPIME VVU Mahala Pa Kazi inayoratibiwa na ATE Kwa kushirikiana na PSI pamoja na ILO.