Monday - Friday ( 08:00 AM - 04:30 PM )
ATEATEATE
+255 22 2780023
info@ate.or.tz
Mikocheni Industrial Area, Dar es Salaam

Utiaji Saini wa Mkataba wa Hali Bora kati ya TPAWU na ATE kwa Niaba ya SAT

Chama cha Waajiri Tanzania (ATE) kwa niaba ya Chama cha Mkonge Tanzania (SAT) siku ya Ijumaa tarehe 19 Novemba 2021 wametia saini Mkataba wa Hali Bora na Chama cha Wafanyakazi wa Mashambani na Kilimo (TPAWU).

Mgeni Rasmi katika hafla hiyo ya Utiaji Saini iliyofanyika katika Ofisi za Makao Makuu ya ATE Mikocheni B Dar es salaam alikuwa ni Waziri wa Nchi Ofisi  ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mheshimiwa Jenista Mhagama (MB).