ATE yafungua Rasmi Ofisi ya Kanda ya Kati Dodoma
Chama cha Waajiri Tanzania( ATE) siku ya Jumanne tarehe 9 Novemba 2021 kilifanya mkutano na Waajiri Jijini Dodoma ikiwa ni sehemu ya ufunguzi rasmi wa Ofisi zake kwa ya Kanda ya Kati. Akizungumza katika Mkutano huo Mkurugenzi Mtendaji na Afisa Mtendaji Mkuu wa ATE Bi. Suzanne Ndomba-Doran alisema lengo ni kuwa karibu na Waajiri na […]