ATE yapata Viongozi wake wapya
Chama cha Waajiri Tanzania (ATE) Siku ya Alhamisi tarehe 22 Juni 2023, kilianya Mkutano wake Mkuu wa 64 ambao pamoja na mambo mengine uliambatana na uchaguzi wa viongozi katika nafasi ya Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti ambao wataongoza ATE kwa miaka mitatu(3) – 2023-2026. Katika uchaguzi huo, Afisa Mtendaji Mkuu wa Tanzania Mortgage Refinance Company Limited […]