Uzinduzi wa Programu ya Mafunzo ya Mwanamke Kiongozi kwa Wabunge Wanawake
ATE yazindua Programu ya Mafunzo ya Mwanamke Kiongozi (Female Future) kwa Wabunge Wanawake yanayoandaliwa na Chama cha Waajiri Tanzania ( ATE) kwa kushirikiana na Shirikisho la Vyama vya Waajiri la Norway ( NHO) ulifanyika rasmi leo katika ukumbi wa Pius Msekwa bungeni Dodoma ambapo Mgeni Rasmi alikuwa ni Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano […]